Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawatangazia waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi…" />
 

News and Events

11
Feb
2017

SEMINA KWA WAAGIZAJI WA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI NA MAWAKALA WA FORODHA WA MKOA WA DAR ES SALAAM

News ArticlesNotices | imageShirika la Viwango Tanzania (TBS) linawatangazia waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi na Mawakala wa Forodha kuwa limeandaa semina ya mafunzo ya udhibiti ubora wa bidhaa itakayofanyika tarehe 20 na 21 Februari, 2017 katika ukumbi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) jengo la Mafao lililopo Ilala Dar es Salaam, kuanzia saa tatu (3) kamili asubuhi mpaka saa tisa (9) alasiri Read More
24
Jan
2017

RC applauds TBS for training traders

News Articles | image Acting Dar es Salaam Regional Commissioner and Kinondoni District Commissioner, Mr. Ally Hapi.

Tanzania Bureau of Standards has been applauded for its efforts in training traders on the required procedures in order to smoothen their daily operations. Read More
13
Jan
2017

AFRICAN ORGANISATION FOR STANDARDARDIZATION (ARSO) CONTINENTAL ESSAY COMPETITION

News ArticlesNotices | image
Tanzania Bureau of Standards (TBS) has great pleasure to announce the 4th ARSO ESSAY COMPETITION for 2017. The competition is open to all college and higher learning institution students below the age of 35 years old pursuing their studies in Tanzania. Read More
11
Jan
2017

SEMINA KWA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WAAGIZAJI WA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM

News ArticlesNotices | image

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawatangazia wafanyabiashara wadogo na waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi kuwa limeandaa semina ya mafunzo ya udhibiti ubora wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi kuanzia tarehe 16 hadi 18 Januari, 2017 katika mkoa wa Dar es Salaam. Read More
14
Dec
2016

INVITATION FOR TENDER - BID No. PA/044/2016/2017/G/04

News ArticlesNoticesVacancies and Tenders | imageSUPPLY OF LABORATORY CULTURE MEDIA FOR TANZANIA BUREAU OF STANDARDS Read More
02
Dec
2016

INVITATION FOR TENDER - BID No. PA/044/2016/2017/G/02

Vacancies and Tenders | imageSUPPLY OF CHEMICALS AND REAGENTS FOR TANZANIA BUREAU OF STANDARDS Read More