News and Events

04
Oct
2019

WORK PROGRAM FOR STANDARDS DEVELOPMENT (2019/2020) STAKEHOLDERS NOTIFICATION

News ArticlesNotices | Tanzania Bureau of Standards (TBS) was established under the Ministry of Industry and Trade by an Act of Parliament, the Standards Act No.3 of 1975 as the National
Standards Institute and became operational in April 1976. It was subsequently renamed Tanzania Bureau of Standards through an amendment to the Act by Act No.1
of 1977. Read More
30
Sep
2019

Provision of Air Ticketing and Reservation Services for Tanzania Bureau of Standards

News ArticlesNoticesTender | This Invitation for Quotation (IFQ) follows the General Procurement Notice for the Tanzania Bureau of Standards for the 2019/2020 financial year that appeared in the Daily News newspaper Issue No. 079 of 18 June, 2019. Read More
27
Sep
2019

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI “INTERNSHIP”

NoticesVacancies |
Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kazini (Internship) kuwa usaili wa kuandika kwa mafunzo ya kazi za Utunzaji Kumbukumbu, Manunuzi, Uchumi na Takwimu pamoja na kazi za TEHAMA unatarajiwa kufanyika tarehe 05-10-2019 siku ya Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi na kuendelea kwa kila kundi la kitaaluma/kada kwa muda wake. Read More
24
Sep
2019

MATOKEO YA USAILI WA INTERNS - IMPORT INSPECTION

NoticesVacancies | Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kwa vitendo kazini (Internship) waliofanya usaili tarehe 14-09-2019 kuwa matokeo yapo tayari. Read More
08
Sep
2019

SEMINA KWA WAAGIZAJI WA BIDHAA NA WAKALA WA FORODHA HAPA NCHINI

News ArticlesNotices | Shirika la viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwafahamisha waagizaji wa bidhaa na wakala wa forodha hapa nchini kuwa tarehe 2019-09-12 kuanzia saa 02:30 asubuhi hadi saa 07:30 Mchana kutakuwa na semina itakayofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Ilala – ARNAUTOGLU Mnazi Mmoja Read More
06
Sep
2019

KUITWA KWENYE USAILI

News ArticlesNoticesVacancies | Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kazini (Internship) kuwa usaili wa kuandika kwa mafunzo ya kazi za Ukaguzi wa bidhaa/mizigo (Inspections) unatarajiwa kufanyika tarehe 14-09-2019 siku ya Jumamosi kuanzia saa mbili na nusu asubuhi. Read More
04
Sep
2019

TANGAZO KWA UMMA

News ArticlesNotices | image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetengeneza mfumo wa kuomba huduma kwa njia ya
mtandao ambao unajulikana kwa jina la TBS Online Application System (OAS). Mfumo huu
kwa sasa unafanya kazi na unapatikana katika linki ifuatayo: https://oas.tbs.go.tz au katika
tovuti ya TBS, http://www.tbs.go.tz Read More
30
Aug
2019

TAARIFA KWA WATENGENEZAJI, WAAGIZAJI, WASAMBAZAJI NA WADAU WA BIDHAA ZA NONDO

News ArticlesNotices | image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwataarifu wazalishaji, waagizaji, wasambazaji na wadau wote wa bidhaa za nondo nchini kuzalisha, kusambaza na kuagiza nondo zinazokidhi matakwa ya kiwango cha kitaifa Na. TZS 142:2015. Read More
27
Aug
2019

Supply of Promotional Materials

News ArticlesNoticesTender | image
This Invitation for Tenders follows the General Procurement Notice for Tanzania Bureau of Standards for the 2019/2020 financial year that appeared in the Daily News newspaper, issue No. 079 of 18 June, 2019. Read More
26
Aug
2019

SEMINA KWA WATENGENEZAJI, WAAGIZAJI, WASAMBAZAJI NA WADAU WA BIDHAA ZA NONDO

News ArticlesNotices | image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwafahamisha watengenezaji, waagizaji, wasambazaji na wadau wa bidhaa za nondo kuwa tarehe 29-08-2019 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 7:00 mchana kutakuwa na semina itakayofanyika Makao Makuu ya Shirika la Viwango Tanzania, Ubungo, Dar es Salaam. Read More