News and Events

27
Jul
2017

TAARIFA KWA UMMA JUU YA UWEPO WA BIDHAA YA MCHELE UNAODHANIWA KUTENGENEZWA KWA PLASTIKI

News ArticlesNotices | image

Hivi karibuni zimeibuka taarifa kupitia video na picha kupitia mitandao ya kijamii (“Instagram na WhatsApp”) zinazoelezea hofu ya uwepo wa bidhaa ya mchele inayosadikika kutengenezwa kutokana na plastiki. Baadhi ya video hizo zinaonesha mtambo unaosadikika kutengeneza mchele kutokana na mifuko ya plastiki, huku nyingine zinaonesha wali ukifinyangwa kisha kudundisha kwenye… Read More
03
Jul
2017

INVITATION FOR BIDS BID No. PA/044/2017-18/HQ/NC/02

| PROVISION OF PRE-SHIPMENT VERIFICATION OF CONFORMITY TO STANDARDS (PVoC) SERVICES FOR USED MOTOR VEHICLES FOR TANZANIA BUREAU OF STANDARDS Read More
30
Jun
2017

GENERAL PROCUREMENT NOTICE 2017 / 2018

News ArticlesNoticesTender | GPN 2017 - 2018 WORKINGS THURSDAY 28TH JUNE 2017 Read More
24
Jun
2017

MAONESHO YA 41 BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SLAAM

News Articles | Mamlaka ya Maandalizi ya Biashara Tanzaniaa (TanTrade) inakukaribisha Kushiriki maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam
Siku:ya Tarehe 28 Hadi 8 Julai 2017
mahali: Uwanja wa maonesho ya biashara wa Mwl. J.K. Nyerere(SabaSaba) Read More
14
Jun
2017

TANGAZO NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA 2017-06-15

News ArticlesNotices | Tanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania’s sole Standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was repealed and replaced by the Standards Act No. 2 of 2009. It is a Parastatal Organization under the Ministry of Industry, Trade and Investment. The Bureau is looking for suitably qualified, competent, dynamic and committed Tanzanians to fill the following vacancies:- Read More
08
Jun
2017

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU NAFASI ZA AJIRA

News ArticlesNotices | Mnamo tarehe 07.06.2017 limetoka tangazo la kazi linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nafasi za ajira zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Shirika linachukua nafasi hii kukanusha taarifa hiyo na kusihi umma kuipuuza taarifa hiyo ambayo siyo ya kweli. Tangazo la kazi linalosambaa ni la mwaka 2015 ambalo lilitangaza nafasi za ajira kupitia tovuti na magazeti mbalimbali katika kipindi hicho Read More
31
May
2017

EAST AFRICAN COMMUNITY PROFICIENCY TESTING SCHEME EAC

News ArticlesNotices | Announcement of the 12th round in 2017 Read More