News and Events

12
Mar
2018

SEMINAR FOR IMPORTERS, MANUFACTURERS, DISTRIBUTORS AND SELLERS OF SOLAR PRODUCTS

News ArticlesNotices | Tanzania Bureau of Standards (TBS) in collaboration with International Finance Corporation (IFC) has organized a seminar for all solar products stakeholders including importers, manufacturers, distributors and sellers of solar products. The Seminar will be held on 2018-03-21 at TBS Headquarters, Ubungo Dar es Salaam from 09.00 AM to 01.00 PM Read More
12
Mar
2018

SEMINA KWA WAZALISHAJI, WAAGIZAJI, WASAMBAZAJI NA WAUZAJI WA BIDHAA ZA UMEME NURU

News ArticlesNotices | Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na taasisi inayoshughulikia masuala ya fedha (IFC) limeandaa semina kwa wadau wote wa umeme nuru itayowahusisha wazalishaji, waagizaji, wasambazaji na wauzaji wa bidhaa za umeme nuru. Semina hiyo itafanyika tarehe 2018-03-21 kuanzia saa tatu (03.00) asubuhi mpaka saa saba (07.00) kamili mchana katika ofisi za TBS Makao Makuu zilizopo Ubungo jijini Dar es Salaam. Read More

| Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na taasisi inayoshughulikia masuala ya fedha (IFC) limeandaa semina kwa wadau wote wa umeme nuru itayowahusisha wazalishaji, waagizaji, wasambazaji na wauzaji wa bidhaa za umeme nuru. Semina hiyo itafanyika tarehe 2018-03-21 kuanzia saa tatu (03.00) asubuhi mpaka saa saba (07.00) kamili mchana katika ofisi za TBS Makao Makuu zilizopo Ubungo jijini Dar es Salaam. Read More
05
Feb
2018

Taarifa kwa Waagizaji na Wakala wa Forodha

News ArticlesNotices | imageKibali cha muda cha bidhaa kutoka nje ya nchi Read More
05
Feb
2018

Notice to Importers and Clearing and Forwarding Agents (CFA)

News ArticlesNotices | imageProvisional Permit for Entry of Imported Goods
Read More
01
Feb
2018

TAARIFA KWA MAWAKALA WA FORODHA NA WAAGIZAJI WA SHEHENA

News ArticlesNotices | image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwajulisha mawakala wote wa Forodha na waagizaji wa shehena kutoka nje ya nchi, kuwa mfumo mpya wa malipo kwa njia ya kielektroniki unafanyika kwa kutumia namba maalumu kwa kila shehena hivyo basi mnasisitizwa kuzingatia yafuatayo wakati wa kujaza fomu za ukaguzi hapa nchini (DI Form) au kukabidhi cheti cha ukaguzi (CoC); Read More
30
Jan
2018

TAARIFA KWA UMMA

News ArticlesNotices | image
SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA(TBS) LINAPENDA KUWAJULISHA MAWAKALA WOTE WA FORODHA NA WAAGIZAJI KUWA MFUMO MPYA WA MALIPO KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI UNAFANYIKA KWA KUTUMIA NAMBA MAALUMU KWA KILA SHEHENA HIVYO BASI TUNAWASIHI KUWA MNAPOJAZA FOMU ZA UKAGUZI (DI FORM) AU KUKABIDHI CoC MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO Read More
23
Jan
2018

5TH ARSO CONTINENTAL ESSAY COMPETITION - 2018

News ArticlesNotices | image
Theme: “Role of Quality Infrastructure and Standardisation in facilitating Trade and sustainable Development within the African Continental Free Trade Area (CFTA)” Read More