News and Events

Featured Articles

26
Sep
2017

TAARIFA KWA WAAGIZAJI WA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

News ArticlesNotices | image
Shirika la Viwango la Tanzania (TBS) hivi karibuni limebaini uwepo wa wimbi la udanganyifu kwa baadhi ya waagizaji wakubwa wa bidhaa kutoka nje ya nchi ambao wamekuwa wakikwepa kukaguliwa bidhaa zao na mawakala wa ukaguzi wa TBS ambao ni “Societe Generale de Surveillance” (SGS), “Bureau Veritas” (BV) na China Certification & Inspection(Group) Inspection Co Ltd’’(CCIC)… Read More
15
Sep
2017

SEMINA KWA WAZALISHAJI, WAKANDARASI, WASAMBAZAJI NA WAAGIZAJI WA NYAYA ZA UMEME

News ArticlesNotices | image
Shirika la viwango Tanzania (TBS) linawatangazia kuwa limeandaa semina kwa ajili ya wazalishaji, wakandarasi, wasambazaji na waagizaji wa nyaya za umeme itakayofanyika tarehe 21 Septemba 2017 kuanzia saa tatu (3) asubuhi mpaka saa saba (7) kamili mchana katika ofisi za TBS zilizopo Ubungo jijini Dar es Salaam. Read More
15
Sep
2017

TAARIFA KWA UMMA

News ArticlesNotices | image
Shirika la Viwango Tanzania(TBS) linapenda kuutarifu umma kuwa ukaguzi wa magari yanayotoka nchini uingereza hayatakua yanapimwa tena na kampuni ya SERENGETI GLOBAL SERVICES LIMITED hii ni baada ya TBS kusitisha mkataba na kampuni hiyo badala yake magari hayo yatakua yanapimiwa hapa hapa nchini mara baada ya kufika (Destination Inspection) katika chuo cha usafirishaji (NIT). Read More
25
Aug
2017

SUSPENDED AND WITHDRAWN TBS LICENCE/CERTIFICATES

News ArticlesNotices | image

As per requirement of section 13 (1) of the Standards (certification) regulations GN . No 406, The following is a list of manufacturers with their licences /Certificates suspended/withdrawn following failure to comply with the contentions of which licence/certificate was granted . Read More
27
Jul
2017

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

News ArticlesNotices | image

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi za Mamlaka hiyo kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 01-02 Agosti, 2017 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Read More
27
Jul
2017

TAARIFA KWA UMMA JUU YA UWEPO WA BIDHAA YA MCHELE UNAODHANIWA KUTENGENEZWA KWA PLASTIKI

News ArticlesNotices | image

Hivi karibuni zimeibuka taarifa kupitia video na picha kupitia mitandao ya kijamii (“Instagram na WhatsApp”) zinazoelezea hofu ya uwepo wa bidhaa ya mchele inayosadikika kutengenezwa kutokana na plastiki. Baadhi ya video hizo zinaonesha mtambo unaosadikika kutengeneza mchele kutokana na mifuko ya plastiki, huku nyingine zinaonesha wali ukifinyangwa kisha kudundisha kwenye… Read More
03
Jul
2017

INVITATION FOR BIDS BID No. PA/044/2017-18/HQ/NC/02

| PROVISION OF PRE-SHIPMENT VERIFICATION OF CONFORMITY TO STANDARDS (PVoC) SERVICES FOR USED MOTOR VEHICLES FOR TANZANIA BUREAU OF STANDARDS Read More