News and Events

News Articles

13
Jan
2017

AFRICAN ORGANISATION FOR STANDARDARDIZATION (ARSO) CONTINENTAL ESSAY COMPETITION

News ArticlesNotices | Tanzania Bureau of Standards (TBS) has great pleasure to announce the 4th ARSO ESSAY COMPETITION for 2017. The competition is open to all college and higher learning institution students below the age of 35 years old pursuing their studies in Tanzania. Read More
11
Jan
2017

SEMINA KWA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WAAGIZAJI WA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM

News ArticlesNotices | Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawatangazia wafanyabiashara wadogo na waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi kuwa limeandaa semina ya mafunzo ya udhibiti ubora wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi kuanzia tarehe 16 hadi 18 Januari, 2017 katika mkoa wa Dar es Salaam. Read More
14
Dec
2016

INVITATION FOR TENDER - BID No. PA/044/2016/2017/G/04

News ArticlesNoticesVacancies | SUPPLY OF LABORATORY CULTURE MEDIA FOR TANZANIA BUREAU OF STANDARDS Read More
25
Nov
2016

NOTICE TO IMPORTERS AND CLEARING AND FORWARDING AGENTS

News ArticlesNotices | In order to ensure that Tanzania Revenue Authority (TRA)’s assessment process in TANCIS is not affected by Tanzania Bureau of Standards (TBS)’s process of uploading permits/certificates of quality for imported goods, clearing & forwarding agents on behalf of importers of goods are hereby required to abide by the following: Read More
25
Nov
2016

TANGAZO KWA WAAGIZAJI BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI NA MAWAKALA WA FORODHA

News ArticlesNotices | Katika kuhakikisha taratibu za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zinazofanyika katika mfumo wa TANCIS haziathiriwi na shughuli za uingizaji wa vibali vya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika mfumo huo, mawakala wa forodha wenye dhamana ya waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi wanatakiwa kuzingatia yafuatayo: Read More
25
Nov
2016

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAJI YA KUNYWA YA DEW

News ArticlesNotices | Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ni Shirika la Umma lililoanzishwa upya kwa Sheria ya Viwango Na.2 ya mwaka 2009. Jukumu kubwa la Shirika chini ya Sheria hii ni kuandaa viwango vya kitaifa na kusimamia utekelezaji wake. Read More