Tanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania’s sole Standards body, formerly established…" />
 

News and Events

14
Jun
2017

TANGAZO NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA 2017-06-15

News ArticlesNotices | imageTanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania’s sole Standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was repealed and replaced by the Standards Act No. 2 of 2009. It is a Parastatal Organization under the Ministry of Industry, Trade and Investment. The Bureau is looking for suitably qualified, competent, dynamic and committed Tanzanians to fill the following… Read More
08
Jun
2017

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU NAFASI ZA AJIRA

News ArticlesNotices | imageMnamo tarehe 07.06.2017 limetoka tangazo la kazi linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nafasi za ajira zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Shirika linachukua nafasi hii kukanusha taarifa hiyo na kusihi umma kuipuuza taarifa hiyo ambayo siyo ya kweli. Tangazo la kazi linalosambaa ni la mwaka 2015 ambalo lilitangaza nafasi za ajira kupitia tovuti na magazeti mbalimbali… Read More
31
May
2017

EAST AFRICAN COMMUNITY PROFICIENCY TESTING SCHEME EAC

News ArticlesNotices | imageAnnouncement of the 12th round in 2017 Read More
28
May
2017

Hotuba ya Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji ya mwaka wa fedha 2017/2018

News ArticlesNotices | image
Hotuba ya Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles J. P. Mwijage (MB.), awasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2017/2018.

Read More
27
Apr
2017

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAFUTA YA ALIZETI

News ArticlesNotices | image

Hivi karibuni imeripotiwa na watafiti wa kisayansi wa Michigan State University, Marekani kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine na kuchapishwa katika jarida la PLoS ONE kuwa mbegu za alizeti zinazotumika kuzalisha mafuta ya alizeti na mashudu yake ambayo hutumika hapa nchini, zina kiwango kikubwa cha sumu kuvu inayosababisha kansa. Read More
27
Apr
2017

NOTICE TO THE PUBLIC ON EDIBLE SUNFLOWER OIL

News ArticlesNotices | image

It has been reported recently that there is high aflatoxin levels in sunflower seeds and products made from them like edible sunflower oil that is frequently consumed by Tanzanians. This is according to PloS ONE Journal whereby a team of scientists from Michigan State University, America in Collaboration with Sokoine University revealed and documented occurrence of aflatoxin… Read More
11
Feb
2017

SEMINA KWA WAAGIZAJI WA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI NA MAWAKALA WA FORODHA WA MKOA WA DAR ES SALAAM

News ArticlesNotices | Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawatangazia waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi na Mawakala wa Forodha kuwa limeandaa semina ya mafunzo ya udhibiti ubora wa bidhaa itakayofanyika tarehe 20 na 21 Februari, 2017 katika ukumbi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) jengo la Mafao lililopo Ilala Dar es Salaam, kuanzia saa tatu (3) kamili asubuhi mpaka saa tisa (9) alasiri Read More
13
Jan
2017

AFRICAN ORGANISATION FOR STANDARDARDIZATION (ARSO) CONTINENTAL ESSAY COMPETITION

News ArticlesNotices | Tanzania Bureau of Standards (TBS) has great pleasure to announce the 4th ARSO ESSAY COMPETITION for 2017. The competition is open to all college and higher learning institution students below the age of 35 years old pursuing their studies in Tanzania. Read More
11
Jan
2017

SEMINA KWA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WAAGIZAJI WA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM

News ArticlesNotices | Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawatangazia wafanyabiashara wadogo na waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi kuwa limeandaa semina ya mafunzo ya udhibiti ubora wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi kuanzia tarehe 16 hadi 18 Januari, 2017 katika mkoa wa Dar es Salaam. Read More