News and Events

17
Sep
2018
13
Sep
2018

TAARIFA KWA UMMA NA WAAGIZAJI WA MAGARI TOKA NJE YA NCHI

News ArticlesNotices | image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwafahamisha waagizaji wa bidhaa ndogondogo (consolidated consignments) pamoja na mawakala wa forodha kuwa tarehe 2018-09-18 kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 7.00 mchana katika ukumbi wa shule ya msingi Kisutu kutakuwa na semina juu ya taratibu za ukaguzi wa bidhaa zitokazo nje ya nchi kabla ya kusafirishwa kuja nchini (PVoC) na zile… Read More
03
Sep
2018

PUBLIC NOTICE TO ALL IMPORTERS OF GENERAL GOODS

Notices | image
Tanzania Bureau of Standards (TBS) is hereby notifying the public that we awarded contracts for thirty six(36) months for provision of Pre-Shipment Verification of Conformity(PVOC) to standards. Read More
17
Aug
2018

Tender No. PA/044/2018-19/HQ/G/07

News ArticlesNoticesTender | image Read More
17
Aug
2018

Tender No. PA/044/2018-19/HQ/G/06

News ArticlesNoticesTender | image Read More
30
Apr
2018
28
Apr
2018

TBS ELECTRONIC PAYMENT SYSTEM

News ArticlesNotices |
As required by the Public Finance Act of 2017 that all public moneys shall be collected through Government e-Payment Gateway system (GePG), TBS has developed a system called TBS Electronic Payment System (ePS). The system, which is integrated with GePG, was officially put into use on 10th January 2017 for TBS offices located in Dar es Salaam. Read More
28
Apr
2018

MFUMO WA ULIPAJI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI

News ArticlesNotices |
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutarifu umma kuwa limejiunga kwenye mfumo wa Serikali wa malipo ya kielekroniki kwa kuzingatia matakwa ya Sheria ya Fedha za Umma ya 2017 yanavyoelekeza kuwa fedha zote za umma zinapaswa kukusanywa kupitia mfumo wa serikali wa malipo ujulikanao kama Government e-Payment Gateway (GePG). Ili kwenda sanjari na mfumo wa Serikali, TBS imetengeneza mfumo wa malipo wa kielektroniki (Electronic Payment System, ePS) ambao umeunganishwa na mfumo wa serikali… Read More
09
Apr
2018

Tender No. PA/044/2017-18/HQ/G/04

News ArticlesNoticesTender |
Supply of Various Laboratory Glassware & Apparatus Read More