News and Events

15
Sep
2017

TAARIFA KWA UMMA

News ArticlesNotices | image
Shirika la Viwango Tanzania(TBS) linapenda kuutarifu umma kuwa ukaguzi wa magari yanayotoka nchini uingereza hayatakua yanapimwa tena na kampuni ya SERENGETI GLOBAL SERVICES LIMITED hii ni baada ya TBS kusitisha mkataba na kampuni hiyo badala yake magari hayo yatakua yanapimiwa hapa hapa nchini mara baada ya kufika (Destination Inspection) katika chuo cha usafirishaji (NIT). Read More
25
Aug
2017

SUSPENDED AND WITHDRAWN TBS LICENCE/CERTIFICATES

News ArticlesNotices | image

As per requirement of section 13 (1) of the Standards (certification) regulations GN . No 406, The following is a list of manufacturers with their licences /Certificates suspended/withdrawn following failure to comply with the contentions of which licence/certificate was granted . Read More
27
Jul
2017

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

News ArticlesNotices | image

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi za Mamlaka hiyo kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 01-02 Agosti, 2017 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Read More
27
Jul
2017

TAARIFA KWA UMMA JUU YA UWEPO WA BIDHAA YA MCHELE UNAODHANIWA KUTENGENEZWA KWA PLASTIKI

News ArticlesNotices | image

Hivi karibuni zimeibuka taarifa kupitia video na picha kupitia mitandao ya kijamii (“Instagram na WhatsApp”) zinazoelezea hofu ya uwepo wa bidhaa ya mchele inayosadikika kutengenezwa kutokana na plastiki. Baadhi ya video hizo zinaonesha mtambo unaosadikika kutengeneza mchele kutokana na mifuko ya plastiki, huku nyingine zinaonesha wali ukifinyangwa kisha kudundisha kwenye… Read More
30
Jun
2017

GENERAL PROCUREMENT NOTICE 2017 / 2018

News ArticlesNoticesTender | GPN 2017 - 2018 WORKINGS THURSDAY 28TH JUNE 2017 Read More
14
Jun
2017

TANGAZO NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA 2017-06-15

News ArticlesNotices | Tanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania’s sole Standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was repealed and replaced by the Standards Act No. 2 of 2009. It is a Parastatal Organization under the Ministry of Industry, Trade and Investment. The Bureau is looking for suitably qualified, competent, dynamic and committed Tanzanians to fill the following vacancies:- Read More
08
Jun
2017

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU NAFASI ZA AJIRA

News ArticlesNotices | Mnamo tarehe 07.06.2017 limetoka tangazo la kazi linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nafasi za ajira zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Shirika linachukua nafasi hii kukanusha taarifa hiyo na kusihi umma kuipuuza taarifa hiyo ambayo siyo ya kweli. Tangazo la kazi linalosambaa ni la mwaka 2015 ambalo lilitangaza nafasi za ajira kupitia tovuti na magazeti mbalimbali katika kipindi hicho Read More