News and Events

25
May
2016

KUITWA KWENYE USAILI

News ArticlesNotices | Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa tarehe 23.12.2015 kuwa usaili wa kuandika (Aptitude test) utafanyika tarehe 06.06.2016 hadi 07.06.2016. Usaili utafanyika katika ukumbi wa University of Dar-es-Salaam, Business School; muda ni kama ulivyoainishwa katika jedwali husika. Matokeo ya usaili wa kuandika yatatangazwa tarehe 10.06.2016 katika tovuti ya TBS http://www.tbs.go.tz Read More
17
May
2016

NOTICE TO MANUFACTURERS, IMPORTERS, DISTRIBUTERS AND SELLERS OF STEEL BARS

Notices | Tanzania Bureau of Standards (TBS) is a parastatal organisation established under the Standards Act No.2 of 2009. The main function of the Bureau under the Act is to develop standards and ensure their full compliance. Read More
17
May
2016

TAARIFA KWA WAZALISHAJI, WAAGIZAJI, WASAMBAZAJI NA WAUZAJI WA NONDO NCHINI

Notices | Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ni Shirika la umma lililoanzishwa kwa Sheria ya Viwango Na.2 ya mwaka 2009. Jukumu kubwa la Shirika, chini ya Sheria hii ni kuandaa viwango vya kitaifa na kusimamia utekelezaji wake. Read More
06
May
2016

Maonyesho ya Bidhaa za Kiafrika katika Mkutano Mkuu na Baraza wa Mashirika ya Viwango Afrika (ARSO)

News ArticlesNotices | 20 – 24 JUNI, 2016 ARUSHA

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TPSF) , wanawaalika wazalishaji wote kujiandikisha kushiriki katika Mashindano ya Bidhaa 50 Bora zinazozalishwa Tanzania na katika Maonesho ya Bidhaa za Kiafrika “ARSO Made in Africa Expo” ambayo yatafanyika jijini Arusha kuanzia Juni 20 hadi 24,2016. Read More
06
May
2016

African Organization for Standardization(ARSO) ‘MADE IN AFRICA’ EXPO 20th–24th JUNE,2016 IN ARUSHA

News ArticlesNotices | Tanzania Bureau of Standards (TBS) in collaboration with Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) invite you to register to participate in Top 50 Tanzania Brand Award Competition and ARSO ‘Made in Africa’ Expo that will take place from June 20th to 24th 2016 in Arusha. Read More
15
Apr
2016
04
Apr
2016

TAARIFA KWA WAAGIZAJI NA WAZALISHAJI WA VILAINISHI VYA MITAMBO NA MAGARI

News ArticlesNotices | Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ni Shirika la umma lililoanzishwa kwa Sheria ya Viwango Na.2 ya mwaka 2009. Jukumu kubwa la Shirika, chini ya Sheria hii ni kuandaa viwango vya kitaifa na kusimamia utekelezaji wake. Read More
04
Apr
2016

NOTICE TO ALL IMPORTERS AND MANUFACTURERS OF OIL AND LUBRICANTS

News ArticlesNotices | Tanzania Bureau of Standards (TBS) is a parastatal organisation established under the Standards Act No.2 of 2009. The main function of the Bureau under the Act is to develop standards and ensure their full compliance. Read More
21
Mar
2016

TAARIFA KWA WAAGIZAJI WOTE WA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

News ArticlesNotices | Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ni Shirika la umma lililoanzishwa kwa Sheria ya Viwango No.2 ya mwaka 2009. Jukumu kubwa la Shirika chini ya Sheria hii ni kuandaa viwango vya kitaifa na kusimamia utekelezaji wake. Read More
21
Mar
2016

NOTICE TO ALL IMPORTERS

News ArticlesNotices | Tanzania Bureau of Standards (TBS) is a parastatal Organisation which was established under the standards Act No.2 of 2009. The main function of the Bureau under the Act is to develop standards and ensure their full compliance. Read More