News and Events

22
Feb
2016

NOTICE TO MANUFACTURERS OF STEEL BARS

News ArticlesNotices | IDENTIFICATION AND LABELLING OF REINFORCEMENT STEEL BARS Read More
12
Jan
2016

TAARIFA KWA WAAGIZAJI NA WAUZAJI WA VILAINISHI MITAMBO NA MAGARI (LUBRICANTS OIL)

News ArticlesNotices | Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waagizaji na wauzaji wa vilainishi hapa nchini kwamba limefanyia marekebisho ya viwango vya kitaifa ya vilainishi vya mitambo na magari na bidhaa zinazohusiana. Read More
12
Jan
2016

PUBLIC NOTICE TO ALL MANUFACTURERS, IMPORTERS AND SELLERS OF LUBRICANTS

News ArticlesNotices | Tanzania Bureau of Standards (TBS) wishes to inform all manufacturers, importers and sellers of lubricants oils and related products that TBS as required by the standards Act No.2 of 2009 has revised the national standards on lubricants and related products . Read More
08
Dec
2015

TAARIFA KWA UMMA

News ArticlesNotices | Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutaarifu umma kuwa Bw. Pendo John na Bw. Kasambala Mulenga ambao walikuwa wakaguzi sanifu (Inspection Technicians) kwa sasa sio wafanyakazi wa TBS.
Read More
08
Sep
2015

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

News ArticlesNotices | Shirika la viwango Tanzania limekuwa likifanya ukaguzi wa kushtukiza wa bidhaa zilizopo sokoni na viwandani mara kwa mara, lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa bidhaa hizo zinakidhi matakwa ya kiwango cha bidhaa husika wakati wote. TBS kwa kushirikiana na Taasis ya Nishati Jadididu (TAREA) iliamua kufanya ukaguzi wa kushtukiza kufuatia malalamiko mengi kuhusiana na ubora wa Vipande vya umeme nuru katika soko la Tanzania ili kutatua tatizo. Mnamo tarehe 23-06-2015, TBS ilifanya ukaguzi wa Umeme Nuru (Solar… Read More
10
Aug
2015

NOTICE TO THE PUBLIC AND ALL MOTOR VEHICLES IMPORTERS

News ArticlesNotices | The Tanzania Bureau of Standards (TBS) started to inspect used motor vehicles in 2002 with the purpose of ensuring that all imported used motor vehicles are roadworthy and conform to the requirements of the relevant Standard. Since then TBS has been obtaining qualified Agents/ Companies to inspect used vehicles on its behalf through the advertised international tenders. Read More
10
Aug
2015

TAARIFA KWA UMMA NA WAAGIZAJI WA MAGARI TOKA NJE YA NCHI

News ArticlesNotices | Shirika la viwango Tanzania (TBS) lilianzisha huduma ya kukagua magari yaliyotumika kutoka nje ya nchi tangu mwaka wa 2002. Lengo ni kuhakikisha magari yaliyotumika yanayoagizwa kutoka nje ya nchi yanakidhi kiwango cha magari yaliyotumika na yanafaa kuendeshwa barabarani. TBS imekuwa ikipata mawakala wa ukaguzi wa magari nje ya nchi kwa kutangaza zabuni za kimataifa. Read More
03
Jun
2015

TBS awarded Contracts - July 2014 to May 2015

News ArticlesNotices | Publication of Awards of Contracts According to Regulation 236 of GN No.446 of 2011 Read More
06
May
2015

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU NAFASI ZA AJIRA

News ArticlesNotices | Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuutaarifu Umma pamoja na waagizaji bidhaa wote kutoka nje ya nchi kuwa limekamilisha mchakato wa zabuni ya mawakala wa ukaguzi wa bidhaa kutoka nje ya nchi. Hivyo Makampuni yafuatayo yameshinda zabuni na kuingia mikataba ya kuwa mawakala wa TBS katika kukagua bidhaa kutoka nje ya nchi (PVoC) kuanzia Tarehe 01.05.2015 ni SGS Tanzania Superitendence Co.Ltd na Bureau Veritas Tanzania : Read More
06
May
2015

TRAINING ANNOUNCEMENT

News ArticlesNotices | IMPLEMENTATION OF QUALITY MANAGEMENT SYSTEMS ISO 9001:2008
PURPOSE/DESCRIPTION
This course has been designed to help trainees to gain and understand the requirements of ISO 9001:2008 and learn on how to structure their own Quality Management System (QMS) within the context of their company. It further equips trainees with an in-depth knowledge for reviewing their current operating practices and introducing new roles and responsibilities.
Notwithstanding the course highlights areas… Read More