News and Events

Public Notices

06
Dec
2017

UFAFANUZI KUHUSU OFISI ZA TBS ZINAZOHUSIKA NA UTOAJI MIZIGO BANDARINI

News Articles | image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizotolewa kupitia mtandao wa kijamii (Jamii Forum) kuwa Shirika linadidimiza jitihada za Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli zinazotaka Mamlaka zinazohusika na utoaji mizigo bandarini kufanya kazi masaa 24. Read More
02
Dec
2017

MANUFACTURERS, IMPORTERS, DISTRIBUTORS AND SELLERS OF OIL LUBRICANTS

News ArticlesNotices | image
Tanzania Bureau of Standards (TBS) wishes to inform all manufacturers, importers, distributors and sellers of OIL LUBRICANT that the Bureau will convene stakeholders meeting on 2017-12-06 to discuss issues of standardization, certification procedure, challenges and come up with way forward pertaining to Oil Lubricants. Read More
17
Nov
2017

TBS STANDARDS WORK PROGRAMME BULLETIN

News ArticlesNotices | image
TBS STANDARDS WORK PROGRAMME BULLETIN Read More
04
Oct
2017

TAARIFA KWA UMMA

News ArticlesNotices | image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linatambua kuwa ni vyema kuwe na jitihada mahususi kwa ajili ya wafanyabiashara ili kuwakwamua na kuwasaidia waweze kusafirisha bidhaa zenye ubora na kukidhi matakwa ya viwango ili kuweza kupata masoko ya ndani na nje ya nchi hivyo kuchochea ukuaji wa sekta ya viwanda hapa nchini. Read More
04
Oct
2017

TAARIFA KWA WAUZAJI, WASAMBAZAJI NA WAZALISHAJI WA MABATI

News ArticlesNotices | image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Tume ya Ushindani (FCC) wanawataarifu wauzaji, wasambazaji wazalishaji na wananchi wote kuwa kumekuwa na tabia ya wauzaji na wasambazaji kufuta taarifa kamili za mabati yaani “Marking”. Read More
03
Oct
2017

WORLD STANDARDS DAY 2017 ESSAY COMPETITION

News ArticlesNotices | image
Tanzania Bureau of Standards (TBS) has great pleasure to announce the WORLD STANDARDS DAY ESSAY COMPETITION for 2017. The competition is open to all Tanzanian Secondary school students studying in Tanzania.
World Standards Day is celebrated Internationally each year on 14th October to honour the efforts of the thousands of experts who develop standards within standards development… Read More
26
Sep
2017

TAARIFA KWA WAAGIZAJI WA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

News ArticlesNotices | image
Shirika la Viwango la Tanzania (TBS) hivi karibuni limebaini uwepo wa wimbi la udanganyifu kwa baadhi ya waagizaji wakubwa wa bidhaa kutoka nje ya nchi ambao wamekuwa wakikwepa kukaguliwa bidhaa zao na mawakala wa ukaguzi wa TBS ambao ni “Societe Generale de Surveillance” (SGS), “Bureau Veritas” (BV) na China Certification & Inspection(Group) Inspection Co Ltd’’(CCIC)… Read More
15
Sep
2017

SEMINA KWA WAZALISHAJI, WAKANDARASI, WASAMBAZAJI NA WAAGIZAJI WA NYAYA ZA UMEME

News ArticlesNotices | image
Shirika la viwango Tanzania (TBS) linawatangazia kuwa limeandaa semina kwa ajili ya wazalishaji, wakandarasi, wasambazaji na waagizaji wa nyaya za umeme itakayofanyika tarehe 21 Septemba 2017 kuanzia saa tatu (3) asubuhi mpaka saa saba (7) kamili mchana katika ofisi za TBS zilizopo Ubungo jijini Dar es Salaam. Read More
15
Sep
2017

TAARIFA KWA UMMA

News ArticlesNotices | image
Shirika la Viwango Tanzania(TBS) linapenda kuutarifu umma kuwa ukaguzi wa magari yanayotoka nchini uingereza hayatakua yanapimwa tena na kampuni ya SERENGETI GLOBAL SERVICES LIMITED hii ni baada ya TBS kusitisha mkataba na kampuni hiyo badala yake magari hayo yatakua yanapimiwa hapa hapa nchini mara baada ya kufika (Destination Inspection) katika chuo cha usafirishaji (NIT). Read More