News and Events

Vacancies and Tenders

22
May
2020

OPPORTUNITIES FOR INTERNSHIP PROGRAM

News ArticlesNoticesVacancies | image
Tanzania Bureau of Standards (TBS) introduced internship programs for graduates from diverse academic backgrounds to have exposure in development issues and a first-hand impression of the day-to-day working environment of the Bureau. Read More
17
Apr
2020

MATOKEO YA USAILI

News ArticlesNoticesVacancies | Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kwa vitendo kazini (Laboratory Assistant Internship) waliofanya usaili tarehe 14-04-2020 kuwa matokeo yapo tayari. Read More
07
Feb
2020

OPPORTUNITIES FOR INTERNSHIP PROGRAM

News ArticlesVacancies | Tanzania Bureau of Standards (TBS) introduced internship programs for graduates from diverse academic backgrounds to have exposure in development issues and a first-hand impression of the day-to-day working environment of the Bureau. Read More
28
Jan
2020

OPPORTUNITIES FOR INTERNSHIP PROGRAM

NoticesVacancies | Tanzania Bureau of Standards (TBS) introduced internship programs for graduates from diverse academic backgrounds to have exposure in development issues and a first-hand impression of the day-to-day working environment of the Bureau. Read More
08
Oct
2019

MATOKEO YA USAILI WA ‘‘INTERNSHIP’’

News ArticlesVacancies | Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kwa vitendo kazini (Internship) waliofanya usaili tarehe 05-10-2019 kuwa matokeo yapo tayari. Namba za Mitihani za wasailiwa wote na alama walizopata zimeonyeshwa hapa chini Read More
27
Sep
2019

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI “INTERNSHIP”

NoticesVacancies |
Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kazini (Internship) kuwa usaili wa kuandika kwa mafunzo ya kazi za Utunzaji Kumbukumbu, Manunuzi, Uchumi na Takwimu pamoja na kazi za TEHAMA unatarajiwa kufanyika tarehe 05-10-2019 siku ya Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi na kuendelea kwa kila kundi la kitaaluma/kada kwa muda wake. Read More
24
Sep
2019

MATOKEO YA USAILI WA INTERNS - IMPORT INSPECTION

NoticesVacancies | Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kwa vitendo kazini (Internship) waliofanya usaili tarehe 14-09-2019 kuwa matokeo yapo tayari. Read More
06
Sep
2019

KUITWA KWENYE USAILI

News ArticlesNoticesVacancies | Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kazini (Internship) kuwa usaili wa kuandika kwa mafunzo ya kazi za Ukaguzi wa bidhaa/mizigo (Inspections) unatarajiwa kufanyika tarehe 14-09-2019 siku ya Jumamosi kuanzia saa mbili na nusu asubuhi. Read More
31
Jul
2019

OPPORTUNITIES FOR INTERNSHIP

News ArticlesNoticesVacancies | Tanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania’s sole Standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was repealed and replaced by the Standards Act No. 2 of 2009. It is a Parastatal Organization under the Ministry of Industry and Trade. TBS introduced internship programs for graduates from diverse academic backgrounds to have exposure in development issues and a first-hand impression of the day-to-day working environment of the Bureau. Read More
02
Apr
2019

EMPLOYMENT OPPORTUNITIES

News ArticlesNoticesVacancies | image Read More