Baraza la ARSO katika Mkutano Mkuu wa 22 wa Umoja wa Mashirika ya Viwango Afrika unaofanyika Arusha

Picha ya pamoja ya Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage na baadhi ya wajumbe wa Baraza la ARSO katika Mkutano Mkuu wa 22 wa Umoja wa Mashirika ya Viwango Afrika unaofanyika jijini Arusha.