KUITWA KWENYE USAILI

Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kazini (Internship) kuwa usaili wa kuandika kwa mafunzo ya kazi za Ukaguzi wa bidhaa/mizigo (Inspections) unatarajiwa kufanyika tarehe 14-09-2019 siku ya Jumamosi kuanzia saa mbili na nusu asubuhi.

Kwa maelezo zaidi fungua hapa

KUITWA_KWENYE_USAILI.pdf