TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI “INTERNSHIP”

image
Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kazini (Internship) kuwa usaili wa kuandika kwa mafunzo ya kazi za Msaidizi wa Hesabu na kazi za Matengenezo ya Ujenzi na Mitambo unatarajiwa kufanyika tarehe 29-06-2020 siku ya Jumatatu kuanzia saa moja na nusu asubuhi.


For further information please click the link below

INTERNS_FOR_MAINTENANCE_AND_ACCOUNTS.pdf