MATOKEO YA USAILI WA ‘‘INTERNSHIP’’

Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kwa vitendo kazini (Internship) waliofanya usaili tarehe 05-10-2019 kuwa matokeo yapo tayari. Namba za Mitihani za wasailiwa wote na alama walizopata zimeonyeshwa hapa chini

Kwa maelezo zaidi bofya hapa

MATOKEO_YA_USAILI_WA_SUPPORT.pdf