SEMINA KWA WAAGIZAJI WA BIDHAA NA WAKALA WA FORODHA HAPA NCHINI

Shirika la viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwafahamisha waagizaji wa bidhaa na wakala wa forodha hapa nchini kuwa tarehe 2019-09-12 kuanzia saa 02:30 asubuhi hadi saa 07:30 Mchana kutakuwa na semina itakayofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Ilala – ARNAUTOGLU Mnazi Mmoja

Kwa maelezo zaidi fungua hapa

SEMINA_KWA_WAAGIZAJI_WA_BIDHAA_NA_WAKALA_WA_FORODHA_HAPA_NCHINI.pdf