SEMINA KWA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WAAGIZAJI WA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawatangazia wafanyabiashara wadogo na waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi kuwa limeandaa semina ya mafunzo ya udhibiti ubora wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi kuanzia tarehe 16 hadi 18 Januari, 2017 katika mkoa wa Dar es Salaam.

Lengo la semina hiyo ni kutoa mafunzo kwa wafanyabiashara na waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi juu ya taratibu za ukaguzi wa bidhaa nje ya nchi kabla ya kusafirishwa kuja nchini yaani ‘Pre-shipment Verification of Conformity to Standards’ (PVoC) na zile zinazokaguliwa baada ya kufika nchini yaani ‘Destination Inspection’.
Ratiba ya semina hiyo ni kama ifuatavyo:

Tafadhali bonyeza linki ifuatayo ili uweze kupakua na kusoma Tangazo hili kwa maelezo zaidi


tangazo_semina_kwa_wafanyabiashara_wadogo_wadogo-1.pdf