TAARIFA KWA MAWAKALA WA FORODHA

imageSHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA LIMEFANYA MAREKEBISHO KWENYE FOMU YA MAOMBI YA UKAGUZI NCHINI YAANI “DESTINATION INSPECTION REQUEST FORM”.

KWENYE MAREKEBISHO HAYO MAWAKALA WA FORODHA WANATAKIWA KUJAZA BARUA PEPE ZAO NA ZA WATEJA WAO.

MABORESHO HAYO YATASAIDIA MAWAKALA NA WAINGIZAJI MIZIGO KUPATA MAJIBU YA MAABARA KWA NJIA YA MTANDAO MARA YATAKAPOKUWA TAYARI NA HIVYO KUPUNGUZA UCHELEWESHAJI.

MAWAKALA WOTE MNAOMBWA KUTUMIA FOMU MPYA NA KUJAZA BARUA PEPE ZENU NA ZA WATEJA WENU ILI KURAHISISHA MAWASILIANO

Kwa maelezo Zaidi wasiliana na
Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Viwango Tanzania (TBS)

S.L.P 9524
Dar es Salaam
Simu: +255(022) 2450206
Hotline: +0800110827
Barua pepe: .(JavaScript must be enabled to view this email address)
Tovuti: http://www.tbs.go.tz

Tafadhali bofya linki ifuatayo ili upakue fomu ya DI:Destination_Inspection_Request_Revised1.pdf
Tafadhali bofya linki ifuatayo ili upakue Tangazo hili:TANGAZO.pdf