TAARIFA KWA MAWAKALA WA FORODHA NA WAAGIZAJI WA SHEHENA

image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwajulisha mawakala wote wa Forodha na waagizaji wa shehena kutoka nje ya nchi, kuwa mfumo mpya wa malipo kwa njia ya kielektroniki unafanyika kwa kutumia namba maalumu kwa kila shehena hivyo basi mnasisitizwa kuzingatia yafuatayo wakati wa kujaza fomu za ukaguzi hapa nchini (DI Form) au kukabidhi cheti cha ukaguzi (CoC);

Kwa maelezo zaidi bofya link hii

TANGAZO.pdf