TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutaarifu umma kuwa Bw. Pendo John na Bw. Kasambala Mulenga ambao walikuwa wakaguzi sanifu (Inspection Technicians) kwa sasa sio wafanyakazi wa TBS.

Tafadhali bonyeza linki ifuatayo kwa maelezo zaidi:

TAARIFA_KWA_UMMA-hr.pdf