TAARIFA KWA UMMA

UPOTEVU WA STAKABADHI NA. 090620, 090621 NA 090622

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), linapenda kuufahamisha umma kuwa stakabadhi za TBS zenye namba 090620,090621 na 090622 zimepotea. Kwa taarifa hii stakabadhi hizo si halali kutumika, hivyo basi yeyote atakayeziona azirudishe TBS.  Shirika halitatambua malipo yoyote yatakayotumia au kuhusisha stakabadhi hizo.


Kwa taarifa zaidi wasiliana na:


Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Viwango Tanzania
S L P 9524
Dar es Salaam
Simu: +255-22- 2450206
Hotline: 0800110827
E-mail: .(JavaScript must be enabled to view this email address)
Tovuti: http://www.tbs.go.tz


Tafadhali bonyeza linki ifuatayo ili uweze kulipata tangazo hili

UPOTEVU_WA_STAKABADHI_NA._090620,_090621_NA_090622.pdf