TAARIFA KWA UMMA

image
Shirika la Viwango Tanzania(TBS) linapenda kuutarifu umma kuwa ukaguzi wa magari yanayotoka nchini uingereza hayatakua yanapimwa tena na kampuni ya SERENGETI GLOBAL SERVICES LIMITED hii ni baada ya TBS kusitisha mkataba na kampuni hiyo badala yake magari hayo yatakua yanapimiwa hapa hapa nchini mara baada ya kufika (Destination Inspection) katika chuo cha usafirishaji (NIT).

TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Viwango Tanzania(TBS) linapenda kuutarifu umma kuwa ukaguzi wa magari yanayotoka nchini uingereza hayatakua yanapimwa tena na kampuni ya SERENGETI GLOBAL SERVICES LIMITED, hii ni baada ya TBS kusitisha mkataba na kampuni hiyo, badala yake magari hayo yatapimwa hapa hapa nchini,(Destination Inspection) katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).

Hivyo basi waagizaji wa magari wanaombwa kufuata utaratibu huu, ili kuhakikisha magari hayo yanakidhi matakwa ya viwango na Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Viwango Tanzania (TBS)
S.L.P. 9524,Dar es Salaam
Simu: +255 222450298/2450206/2451763-6
Hotline: 0800 110 827
Barua pepe: .(JavaScript must be enabled to view this email address)

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia Anuani zilizopo kwenye Tangazo
TAARIFA_KWA_UMMA.pdf