TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI MPYA ZA VIWANGO

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutaarifu umma kuwa kuanzia tarehe 01/01/2017 tutapandisha bei ya viwango vya Tanzania.

Tafadhali unaombwa kubonyeza linki ifuatayo ili uweze kuona bei hizo za viwango:


BEI_MPYA_ZA_VIWANGO.pdf

Ili kuweza kupata viwango vya Tanzania unahitaji kujua namba ya kiwango husika (kwa mfano Kiwango cha maji ya kunywa ya chupa ni TZS 574) kupitia kwenye katalogi mtandao inayopatikana kwenye tovuti ya shirika ambayo ni http://www.tbs.go.tz/standards/ .

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Viwango Tanzania
S.L.P. 9524
Dar es Salaam
Simu: +255 22 2450206
Hotline: 0800110827
Barua pepe: .(JavaScript must be enabled to view this email address)