TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAMPUNI ZA UKAGUZI WA MAGARI NJE YA NCHI

Shirika la Viwango Tanzania(TBS) linapenda kuufahamisha umma kuwa limesaini mkataba na kampuni za ukaguzi wa magari yaliyotumika katika kipindi cha mwaka 2018 -2021 utakaodumu kwa miezi (36) kuanzia tarehe 2018-03-01 mpaka 2021-02-28.
Majina ya kampuni hizo ni kama yalivyoainishwa kwenye jendwali lifuatalo :

image

Tafadhali fata linki hii kupata tangazo lote: *pvoc_swahili_2_edited.pdf: