TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TAIRI ZA MAGARI, PIKIPIKI NA BAISKELI AMBAZO ZILISHATUMIKA

imageTAARIFA KWA UMMA KUHUSU TAIRI ZA MAGARI, PIKIPIKI NA BAISKELI AMBAZO ZILISHATUMIKA

TBS inapenda kuwakumbusha wauzaji, wasambazaji na watumiaji wa tairi za magari, pikipiki na baiskeli ambazo zilishatumika (used tires) kuwa haziruhusiwi tena kutumika. Basi iwapo itafanyika hivyo ni kinyume na matakwa ya Sheria Na. 2 ya mwaka 2009

kwa maelezo zaidi bofya linki hapo chini TAARIFA_KWA_UMMA_KUHUSU_MATAIRI_YALIYOTUMIKA.pdf

NDUGU WATEJA NA WAGENI WOTE WA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA, TUNAPENDA KUWAJULISHA KUWA KUTOKANA NA UJENZI UNAOENDELEA KATIKA BARABARA YA MOROGORO, GETI LETU LA MBELE LA KUINGIA TBS LINAFUNGWA KUANZIA TAREHE 18.10.2018 HADI 18.11.2018

HIVYO, MNAOMBWA KUTUMIA GETI LA NYUMA KUINGIA NA KUTOKA TBS.


TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU UNAOJITOKEZA.


UTAWALA
OKTOBA 2018