TAARIFA KWA UMMA KUSITISHA UKAGUZI WA MAGARI

Taarifa kwa Umma kusitisha ukaguzi wa magari yaliyotumika unaofanywa na Kampuni ya Quality Motors

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesitisha leseni ya ukaguzi wa magari yaliyotumika unaofanywa na Kampuni ya Quality Motors.

Kwa taarifa zaidi, tafadhali bofya kiambatanisho hapo chini.

HONGKONG_Kiswahili