TAARIFA KWA UMMA NA WAAGIZAJI WA MAGARI TOKA NJE YA NCHI

image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwafahamisha waagizaji wa bidhaa ndogondogo (consolidated consignments) pamoja na mawakala wa forodha kuwa tarehe 2018-09-18 kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 7.00 mchana katika ukumbi wa shule ya msingi Kisutu kutakuwa na semina juu ya taratibu za ukaguzi wa bidhaa zitokazo nje ya nchi kabla ya kusafirishwa kuja nchini (PVoC) na zile zinazokaguliwa baada ya kufika nchini.

Kuanzia_mwezi_Febuari_mwaka_2012.pdf

TAARIFA_KWA_UMMA_NA_WAAGIZAJI_WA_MAGARI_TOKA_NJE_YA_NCHI_.docx

SHIRIKA_LA_VIWANGO_TANZANIA_TAARIFA_KWA_WAAGIZAJI_WA_BIDHAA_KUTOKA_NJE_YA_NCHI_.pdf

TANGAZO_LA_SEMINA_KWA_MAWAKALA_WA_FORODHA_NA_WAAGIZAJI_WA_MIZIGO.pdf