TAARIFA_KWA_UMMA_UTEKELEZAJI_WA_BLUE_PRINT

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutaarifu umma kwamba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha muswada wa Sheria (The Finance Bill 2019) ambao baada ya kusainiwa utaleta mabadiliko katika Sheria ya Viwango Na. 2 ya mwaka 2009 (Sura 130) ambapo TBS imeongezewa majukumu ya kudhibiti ubora na usalama wa vyakula na vipodozi, majukumu ambayo yalikuwa yanatekelezwa hapo awali na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA).

Kwa maelezo zaidi bofya hapa

TAARIFA_KWA_UMMA_UTEKELEZAJI_WA_BLUE_PRINT-EngSw.pdf