TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwataarifu wadau na wananchi kwa
ujumla kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Sheria ya Fedha
ya mwaka 2019 ambayo imeleta mabadiliko katika Sheria ya Viwango Na. 2 ya mwaka
2009.

Kwa maelezo zaidi fungua kiambatanisho

TAARIFA_KWA_VYOMBO_VYA_HABARI.pdf