TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU NAFASI ZA AJIRA

Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuutaarifu Umma pamoja na waagizaji bidhaa wote kutoka nje ya nchi kuwa limekamilisha mchakato wa zabuni ya mawakala wa ukaguzi wa bidhaa kutoka nje ya nchi. Hivyo Makampuni yafuatayo yameshinda zabuni na kuingia mikataba ya kuwa mawakala wa TBS katika kukagua bidhaa kutoka nje ya nchi (PVoC) kuanzia Tarehe 01.05.2015 ni SGS Tanzania Superitendence Co.Ltd na Bureau Veritas Tanzania :

Tafadhali bonyeza linki ifuatayo hapo chini kwa taarifa zaidi:

tangazo_la_importers_2015edited.pdf