TAARIFA KWA WATENGENEZAJI, WAAGIZAJI, WASAMBAZAJI NA WADAU WA BIDHAA ZA NONDO

image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwataarifu wazalishaji, waagizaji, wasambazaji na wadau wote wa bidhaa za nondo nchini kuzalisha, kusambaza na kuagiza nondo zinazokidhi matakwa ya kiwango cha kitaifa Na. TZS 142:2015.

Kwa Maelezo zaidi bofya hapa

TAARIFA_KWA_WATENGENEZAJI,_WAAGIZAJI,_WASAMBAZAJI_NA_WADAU_WA_BIDHAA_ZA_NONDO.pdf