TAARIFA KWA WAZALISHAJI, WAAGIZAJI, WASAMBAZAJI NA WAUZAJI WA NONDO NCHINI

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ni Shirika la umma lililoanzishwa kwa Sheria ya Viwango Na.2 ya mwaka 2009. Jukumu kubwa la Shirika, chini ya Sheria hii ni kuandaa viwango vya kitaifa na kusimamia utekelezaji wake.

Tafadhali bonyeza linki ifuatayo hapa chini kupata hili tangazo

TANGAZO_LA_NONDO_MAY_2015.pdf