TANGAZO KWA UMMA

image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwajulisha wafanyabiashara wote wanaojihusisha na biashara za chakula na vipodozi kuwa wanapaswa kusajiliwa na kupewa vibali vya usajili wa jengo (premise registration permits).

Fungua hapa kwa maelezo zaidi.

Food_and_Cosmetic_Registration.pdf

Usajili_wa_Vyakula_na_Vipodozi.pdf