TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI “INTERNSHIP”


Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kazini (Internship) kuwa usaili wa kuandika kwa mafunzo ya kazi za Utunzaji Kumbukumbu, Manunuzi, Uchumi na Takwimu pamoja na kazi za TEHAMA unatarajiwa kufanyika tarehe 05-10-2019 siku ya Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi na kuendelea kwa kila kundi la kitaaluma/kada kwa muda wake.

TANGAZO_LA_USAILI_WA_INTERNSHIP_FOR_SUPPORT_FUNCTIONS.pdf