UFAFANUZI KUHUSU OFISI ZA TBS ZINAZOHUSIKA NA UTOAJI MIZIGO BANDARINI

image
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizotolewa kupitia mtandao wa kijamii (Jamii Forum) kuwa Shirika linadidimiza jitihada za Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli zinazotaka Mamlaka zinazohusika na utoaji mizigo bandarini kufanya kazi masaa 24.

Kwa maelezo zaidi bofya hapa

UFAFANUZI_KUHUSU_OFISI_ZA_TBS_ZINAZOHUSIKA_NA_UTOAJI_MIZIGO_BANDARINI.pdf