UTAMBULISHO WA MFUMO WA KUOMBA HUDUMA KWA NJIA YA MTANDAO

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetengeneza mfumo wa kuomba huduma kwa njia ya mtandao ambao unajulikana kwa jina la TBS Online Application System (OAS). Mfumo huu kwa sasa unafanya kazi na unapatikana katika linki ifuatayo: https://oas.tbs.go.tz au katika tovuti ya TBS, http://www.tbs.go.tz

Kwa Maelezo zaidi fungua kiambatisho

UTAMBULISHO_WA_MFUMO_WA_KUOMBA_HUDUMA_KWA_NJIA_YA_MTANDAO.pdf