SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA(TBS)
e-Services
Je, huduma za TBS ni zipi?

Shirika la Viwango Tanzania linatoa huduma zifuatazo;

a)Uwekaji viwango vnavyokubaliwa b)Uthibitisho wa bidhaa

c)Uthibitisho wa mfumo wa usimamizi

d)Upimaji

e)Alama za vipimo

f)Mafunzo, ushauri na uelekezi

g)Ukaguzi

h)Usajili wa bidhaa na jengo

i)Elimu kwa umma



Settings