SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA(TBS)
e-Services

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viwango ni zana yenye nguvu sana kwa kusaidia ubunifu na kuongeza tija. Uwekaji viwango wenye ufanisi je unakuza ushindani na kuongeza faida. Viwango vinaiwezesha kampuni: a)Kukuvutia na kujihakikishia wateja b)Kuonesha uongozi wa soko c)Kujenga kumusu ushindani d)Kujenga na kudumisha ka...
Kiwango ni seti ya fasiri za kiufundi na miongozo, maelekezo ya “jinsi ya kufanya” kwa lengo la kuhimiza usalama, kutumainiwa, tija na ufanisi katika takribani kila tasnia. Viwango bi nyenzo ya mawasiliano kwa wazalishaji na watumiaji. Vinatumika kama lugha ya wote kuelezea ubora na kuwe...
Shirika la Viwango Tanzania linatoa huduma zifuatazo; a)Uwekaji viwango vnavyokubaliwa b)Uthibitisho wa bidhaa c)Uthibitisho wa mfumo wa usimamizi d)Upimaji e)Alama za vipimo f)Mafunzo, ushauri na uelekezi g)Ukaguzi h)Usajili wa bidhaa na jengo i)Elimu kwa umma
Shirika la Uwekaji Viwango la Kimataifa ni mtayarishaji mkubwa Duniani na mchapishaji wa Viwango vya Kimataifa. ISO ni mtandao wa taasisi za viwango za kitaifa za nchi 162, mwanachama mmoja kwa kila nchi, ina sekretarieti Kuu, Geneva Uswisi inayoratibu mfumo. ISO ni shirika lisilo la kiserikali lina...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) shirika la umma, chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara. Taasisi hii ya viwango ya Taifa la Tanzania iliyoanzishwa na Serikali kama sehemu ya jitihada ya kuimarisha miundombinu kwa sekta za viwanda na biashara kwenye uchumi nchini. Shirika hili lilianzishwa kwa sher...


Settings