Announcements
Posted On: Dec 05, 2025
MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA MAZIWA NA BIDHAA ZA MAZIWA (MILK AND MILK PRODUCTS)
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya viwango vya maziwa na bidhaa za maziwa (Milk and Milk Products). Mafunzo haya yatafanyika tarehe 10 hadi 11 Februari, 2026 katika Manispaa ya Jiji la Arusha.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;
tangazo la mafunzo uelewa maziwa arusha