Ulinganifu wa Vipimo

Maabara ya Metrolojia ina uwezo wa kutayarisha vifaa kwa ajili ya ulinganishaji wa maabara mbalimbali (ILC) katika nyanja zifuatazo:

a.Tungamo na Vipimo Vinavyohusiana

b.Urefu; na

c.Themometria