Announcements

Posted On: Feb 25, 2026


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU USAJILI NA UKAGUZI WA MAENEO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHAKULA NA VIPODOZI

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara ni taasisi ya umma ambayo pamoja na majukumu mengine husimamia ubora na usalama wa bidhaa za chakula na vipodozi kwa mujibu wa Sheria ya Viwango, Sura ya 130 na Kanuni zake ili kulinda afya za watumiaji. Katika kutekeleza jukumu hilo, Shirika husajili na kufanya ukaguzi wa maeneo ya uzalishaji, uhifadhi, usambazaji na uuzaji ili kuhakikisha kuwa bidhaa hizo zinakidhi matakwa ya ubora na usalama.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

taarifa kwa umma kuhusu usajili na ukaguzi wa maeneo ya biashara