Announcements

Posted On: Mar 21, 2026


MWALIKO WA KUSHIRIKI KATIKA JUKWAA LA BIASHARA LA VIWANGO (VIWANGO BUSINESS FORUM) TAREHE 5 JUNI, 2026 JIJINI DAR ES SALAAM

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1975. Katika kuadhimisha hatua hii muhimu, TBS imeandaa Viwango Business Forum, jukwaa maalum litakalowakutanisha wadau wa biashara na huduma kwa ajili ya kujadili kwa kina masuala mbalimbali yanayohusu nafasi ya viwango katika kukuza ushindani wa kibiashara na kuimarisha ubora wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya ndani na ya kimataifa, kwa lengo la kuchangia maendeleo ya uchumi wa Taifa.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiamabatnisho kifuatacho;

tangazo la viwango business forum 2026