SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA(TBS)
e-Services

Kituo cha Teknolojia ya Ufungashaji (Packaging Technology Centre – PTC) kilianzishwa na Serikali ya Tanzania chini ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa lengo la kuendeleza sekta ya ufungashaji nchini. Kituo hiki kinaimarisha mifumo ya usanifishaji, upimaji na uhakiki wa ubora wa vifungashio ili kuhakikisha vinakidhi viwango na mahitaji husika ya ubora na usalama.



Settings