TANZANIA BUREAU OF STANDARDS(TBS)
e-Services

MAONO, DIRA, MAADILI NA SERA YA UBORA

img

Maono

"Matumizi endelevu ya viwango kwa jamii yenye maisha bora".

img

Dhamira

"Kukuza viwango, usalama na uhakiki wa ubora katika viwanda na biashara kupitia uandaaji wa viwango, uhakiki wa ubora, usajili, ukaguzi, upimaji na huduma za ugezi kwa maendeleo endelevu ya k


img

Core values

KUSHIRIKIANA

Ushirikiano Tunafanya kazi pamoja kwa kubadilishana uzoefu huku tukiheshimiana ili kufikia malengo ya taasisi.    

Uadilifu

Tunahakikisha utoaji endelevu wa huduma kwa uaminifu wa hali ya juu na bila upendeleo kwa kuzingatia kanuni za maadili.

MTEJA

We prioritize customers' needs first therefore committed to responding timely and proactively to their expectations.

Uwazi

Tunahakikisha mawasiliano ya wazi na kutoa mrejesho kwa wadau wetu kwa usawa.

Uwajibikaji

Tutawajibika kwa matendo yetu, uamuzi wetu na matokeo yake katika kutekeleza majukumu yetu.


img

Sera ya Ubora

“Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limedhamiria, kwa kuzingatia dhamana iliyopewa, kutoa bidhaa na huduma bora katika utayarishaji wa viwango, usimamizi wa usalama, uhakiki wa ubora na huduma za metrolojia. TBS inahakikisha inakidhi matakwa ya kisheria, mahitaji na matarajio ya wateja, na hata kuyazidi ili kudumisha uaminifu kwao. TBS hutoa rasilimali na kuendelea kuboresha mifumo ya utendaji wake ili kuhakikisha kwamba wakati wote wafanyakazi wake wana uwezo wa kutoa bidhaa na huduma bora ambazo ni endelevu.”



Settings