Announcements

Posted On: Feb 28, 2024


MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA USIMAMIZI WA USALAMA WA CHAKULA: ISO 22000, HACCP

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya siku moja yanayohusu uelewa wa viwango vya usimamizi wa usalama wa chakula (ISO 22000:2018 & HACCP – TZS 1770:2016).

Kwa maelezo zaidi fungua link ifuatayo:

iso 22000 na haccp