Announcements

Posted On: May 15, 2024


TAARIFA KWA UMMA MAZIWA MBADALA YA WATOTO (BREAST MILK SUBSTITUTE) AINA YA INFACARE

Mnamo tarehe 10 Mei 2024, Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) ilitoa taarifa kwa umma juu ya uwepo wa maziwa mbadala ya watoto aina ya Infacare 1, 2 na 3 yaliyoandikwa “Not for Resale in Tanzania” ambayo yaliingizwa Zanzibar pasipo kufuata utaratibu na hivyo kusitishwa matumizi na kuondolewa katika soko.

Kwa taarifa zaidi fungua kiambata kifuatacho:

maziwa infacare