TANZANIA BUREAU OF STANDARDS(TBS)
e-Services

Salamu Kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu

Dg photo

Salamu

Tunayofuraha na heshima ya dhati kukukaribisha katika tovuti ya Shirika la Viwango Tanzania. Tovuti yetu inakupa muhtasari wa kutosha wa shughuli zetu, kazi, huduma, sherehe/matukio na machapisho. Kupitia tovuti hii unaweza kujua TBS ni nini, azma na matarajio yetu. Ni matarajio yetu kuwa tutatumia fursa hii kutoa huduma za uwekaji viwango vinavyokubalika na uhakiki wa ubora.

Asante kwa kutembelea tovuti yetu www.tbs.go.tz ni matumaini yetu kuwa utafurahia na kuona manufaa yake. Aidha, kwa ufafanuzi zaidi, usisite kututembelea katika ofisi zetu zilizopo barabara za Morogoro/Sam Nujoma, Dar es Salaam, Tanzania.

Karibu

Dkt. Ashura A. Katunzi - Mkurugenzi Mkuu

Shirika la Viwango Tanzania (TBS)



Settings