Announcements

Posted On: Feb 12, 2025


MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA MAJI YA KUNYWA

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya viwango vya maji ya kunywa vifuatavyo:
i) TZS 573:2019/EAS 13:2018 (Packaged mineral water - Specification),
ii) TZS 574:2019/EAS 153:2018 (Packaged drinking water - Specification),
iii) TZS 789:2019/EAS 132:2018 (Potable water – Specification),
iv) TZS 2064:2023/EAs 974:2019 (Flavoured drinking water - Specification.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

mafunzo ya ngazi ya uelewa kwa viwango vya maji ya kunywa